iqna

IQNA

ilhan omar
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
WASHINGTON, DC (IQNA) - Baraza la Chama cha Wanasheria wa Marekani (ABA), chombo kikubwa zaidi cha wanasheria nchini Marekani, kimepitisha azimio la kulaani chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3477413    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/10

Wanawake wawili wa Kiislamu katika Bunge la Marekani watasusia hotuba ya pamoja ya Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kwenye Bunge la Congress.
Habari ID: 3477187    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/24

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wabunge wa chama cha upinzani cha Republican katika Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani (Congress) wamepiga kura ya kumtimua Ilhan Omar katika kamati muhimu ya bunge kutokana na kitendo cha mbunge huyo Muislamu kuwakejeli wanasiasa wa Marekani kutokana na uungaji mkono wao usio na msingi kwa utawala wa Israel mkabala wa kupokea malipo ya malipo ya fedha.
Habari ID: 3476507    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/03

Chuki dhidi ya Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA)- Ilhan Omar, Mbunge Mwislamu wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani anayewakilisha jimbo la Minnesota amesema kuwa, baadhi ya wajumbe wa chama cha Republican hawataki kuona kunakuweko na Wabunge Waislamu katika Kongresi ya nchi hiyo.
Habari ID: 3476497    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/01

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) - Wabunge kadhaa nchini Marekani wamezitaka benki za nchi hiyo kuacha mbinu za kibaguzi dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3476191    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/03

TEHRAN (IQNA)-e Baraza la Wawakilishi la katika Bunge la Congress nchini Marekani limepasisha muswada wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia licha ya kupingwa na wabunge wote wa chama cha Republican cha Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani mwenye chuki na uadui mkubwa na Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3474680    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/16

TEHRAN (IQNA) – Mbunge Muslamu katika Bunge la Congress nchini Marekani, Bi. Ilhan Omar wa chama cha Democrat amehujumiwa kwa maneno makali na mbunge mwenzake mwenye misimamo mikali wa chama cha Republican ambaye amemtaja kuwa ‘mwenye kiu cha damu’ na mtetezi wa ugaidi.
Habari ID: 3474624    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/01

TEHRAN (IQNA) – Iwapo Waislamu nchini Marekani wanataka 'kuonekana' na masuala yao yazingatiwe katika ngazi za maamuzi muhimu, basi wanapaswa kushiriki katika uchaguzi ujao wa rais nchini humo.
Habari ID: 3472430    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/01

TEHRAN (IQNA) - Mbunge Muislamu Marekani apinga sera za Trump dhidi ya Iran na kusema vikwazo na vita vya kiuchumi ni hatua ambazo zinakinzana na sera za kupunguza taharuki.
Habari ID: 3472356    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/09

TEHRAN (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umewapiga marufuku wabunge wawili wa chama cha Democrat nchini Marekani Rashida Tlaib na Ilhan Omar kuingia ardhi za Palestina.
Habari ID: 3472086    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/16

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Marekani wanabaguliwa zaidi ya wafuasi wa dini zingine zote nchini humo.
Habari ID: 3471870    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/10

IQNA- Mbunge wa kwanza mwenye asili ya Kisomali kuchaguliwa nchini Marekani amemdhalilisha na dereva wa teksi ambaye amemtusi kwa maneno ya chuki dhidi ya Uislamu mjini Washington.
Habari ID: 3470724    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/08